KILUWA AKIZUNGUMZA KWENYE KONGAMANO LA UWEKEZAJI WA VIWANDA MJINI BEIJING,CHINA

December 25, 2017

published: 2017-10-26 16:15:38MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Kiluwa Industrial Group of Companies Mohamed Said Kiluwa akizungumza kwenye Kongamano la Uwekezaji wa Viwanja,jijini Beijing nchini Chaina Oktoba 25,2017

source